General Board about Juma Bhalo » untitled

 • fatma
  fatma state
  napenda sana nyimbo za juma bhallo ila sijui nitazipata vipi naomba munisaidie pls

  napenda sana nyimbo za juma bhallo ila sijui nitazipata vipi naomba munisaidie pls

 • Anwar
  Anwar London
  Fatma uko baharini na wauliza maji ya chumvi yapatikana wapi?

  Fatma uko baharini na wauliza maji ya chumvi yapatikana wapi?

 • Anwar
  Anwar
  Fatma Nyimbo za Juma Bhalo zapatikana hapa hapa online. Waweza kuzidownload hapahapa kwa kubonyeza LISTEN TO SONGS http://jumabhalo.com/listentosongsclips.cfm Na hapo waweza kuzinunuwa. Unahitajika uwe na paypal ili uweze kuzilipia Ahsante[URL=http://jumabhalo.com/listentosongsclips.cfm]Nunuwa Nyimbo za Juma Bhalo hapa[/URL]

  Fatma Nyimbo za Juma Bhalo zapatikana hapa hapa online.

  Waweza kuzidownload hapahapa kwa kubonyeza LISTEN TO SONGS

  http://jumabhalo.com/listentosongsclips.cfm

  Na hapo waweza kuzinunuwa. Unahitajika uwe na paypal ili uweze kuzilipia

  AhsanteNunuwa Nyimbo za Juma Bhalo hapa

Add your message- It will be added as the newest post